[ti:Malaika] [ar:小野リサ (小野丽莎)] [al:Ono Lisa Best 2002-2006] [by:] [offset:0] [00:00.00]マライカ (传统歌曲:天使) - 小野丽莎 (小野リサ) [00:07.18]Lyrics by:アフリカ民謡 [00:14.37]Composed by:アフリカ民謡 [00:21.55]Malaika nakupenda malaika [00:29.74]Malaika nakupenda malaika [00:37.22]Nami nifanyeje kijana mwenzio [00:45.73]Nashindwa na mali sina we [00:49.60]Ningekuoa malaika [00:54.23]Nashindwa na mali sina we [00:58.04]Ningekuoa malaika [01:12.22]Kidege hukuwaza kidege [01:20.61]Kidege hukuwaza kidege [01:27.97]Nami nifanyeje kijana mwenzio [01:36.51]Nashindwa na mali sina we [01:40.54]Ningekuoa malaika [01:45.03]Nashindwa na mali sina we [01:48.93]Ningekuoa malaika [02:34.92]Pesa zasumba roho yangu [02:43.36]Pesa zasumba roho yangu [02:50.41]Nami nifanyeje kijana mwenzio [02:58.91]Nashindwa na mali sina we [03:02.82]Ningekuoa malaika [03:07.44]Nashindwa na mali sina we [03:11.31]Ningekuoa malaika [03:17.05]Malaika nakupenda malaika